![Kidogo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/ab1367fb79204363a0e9c73c4ce812e7_464_464.jpg)
Kidogo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
TOMMY FLAVOUR
KIDOGO - LYRICS
VERSE 1
Wameshashika mo
Utawatoa roho kwako singoki ngo’
Oooooooooh
Una bless ya Dooh dooh Ooh
Piki piki Piki Piki Eeh
Shika shika weka kiki Aah
Kwa mvuto weka tick Eeh
Nikuweke mpaka DP
HOOK
Ohhaaa
Ohh tena silidhiki bado
Unanikabariki Upendo ile Double double
Wabugue vidonge wameze na sitamol
Achana na Story wanazoongea eti muda
Nakupotezea ningoje mama
CHORUS
Kidogo (x3) Uko na mimi
Kidogo (x3) naomba niamini baby girl
Me got you mama
Me got you Mama
Me got you mama
Me got you Mama
Me got you mama
Me got you Mama
Me got you mama
Me got you Mama
VERSE 2
Ohh Toto nakuita namba moko
Kopa yetu logo lolo Oooh
Kama Zali embe Dodo sweet kama jojo
HOOK
Ohhaaa
Ohh tena silidhiki bado
Unanikabariki Upendo ile Double double
Wabugue vidonge wameze na sitamol
Achana na Story wanazoongea eti muda
Nakupotezea ningoje mama
CHORUS
Kidogo (x3) Uko na mimi
Kidogo (x3) naomba niamini baby girl
Me got you mama
Me got you Mama
Me got you mama
Me got you Mama
BRIDGE
Majuto Mjukuu ..uje uniache mwenyewe
Furaha yetu sikukuu mbele hakuna makuu
Naapia kwa Mungu uuh
Ohh pleaseeeee believe me
Ohhh Ooooh
HOOK
Ohhaaa
Ohh tena silidhiki bado
Unanikabariki Upendo ile Double double
Wabugue vidonge wameze na sitamol
Achana na Story wanazoongea eti muda
Nakupotezea ningoje mama
CHORUS
Kidogo (x3) Uko na mimi
Kidogo (x3) naomba niamini baby girl
Me got you mama
Me got you Mama
Me got you mama
Me got you Mama
THE END