![Utulie ft. MwanaFA](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/ab1367fb79204363a0e9c73c4ce812e7_464_464.jpg)
Utulie ft. MwanaFA Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Utulie ft. MwanaFA - Tommy Flavour
...
TOMMY
Nitumie ipi language
Kihaya ama kimombo
Kingereza ama tumbech'
Unipende usi- go-go-go
Dhuruba za mapenzi nyingi
Ila sina shaka hata kidogo, oh
Thanks Papa I made it
Naanza kuukuza ukoo
Pendo laaa',Hadi kuchiti mi naona noma
Una heshimaaa',naupendo sijapata ona,yeeh
Naweka pamba, naziba wakinong'ona kila kona, yeh yeh
Nia yao kuona penzi letu limedoda
So, nikikupenda utulie
Ah ah, Utulie
Labda kesho sipo unitumie
Ah ah, 'nitumie
So, nikikupenda utulie
Ah ah, Utulie
Labda kesho sipo unitumie
Ah ah,'nitumie
Wakwanza kajaa Millio'
Wengine nakata perio'
File la ma X silioni, ye
It's only you my baby
Umewaacha wenye Trillio'
Ubaki na mimi Tommy, Oh
Manchandwa mi sina hali
Pendo laaa',Hadi kuchiti mi naona noma
Una heshimaaa',naupendo sijapata ona,yeeh
Naweka pamba, naziba wakinong'ona kila kona, yeh yeh
Nia yao kuona penzi letu limedoda
So, nikikupenda utulie
Ah ah, Utulie
Labda kesho sipo unitumie
Ah ah, 'nitumie
So, nikikupenda utulie
Ah ah, Utulie
Labda kesho sipo unitumie
Ah ah,'nitumie
Bila wewe mambo hayaendi
Sitakikujaribu,oh oh ooh
MWANA-FA
Usigeukie pembeni usigeukie upenuni
Sio mtu wa mambo mengi
kama utani weka moyoni
Nahitaji moyo tu makashikashi ya nini
Ukitulia nitakupenda usiamini
Achana na umjinimjini
Ukinitizama usione hela zako mfukoni
Sijawahi kuitwa baby bila kuombwa hela
So mpenzi haina kuigiza "Telenovella"
Matokeo ya sala zangu ni wewe
Mungu kani jibu na wewe
We mzigo wangu mwenyewe
Usinitie kiwewe
Nitafuata maagizo,utachosema, yes mama
Bila viulizo!, naahidi 'kupenda sana
Disco nimezima hakuna wakuomba nyimbo tena, ukumbi ni wako, hapa ni mapenzi kiutu-uzima
So, nikikupenda utulie
Ah ah, Utulie
Labda kesho sipo unitumie
Ah ah, 'nitumie
So, nikikupenda utulie
Ah ah, Utulie
Labda kesho sipo unitumie
Ah ah,'nitumie, yeh yeh
•Laxrmaar•