![Wote](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/25/ab1367fb79204363a0e9c73c4ce812e7_464_464.jpg)
Wote Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Wote - Tommy Flavour
...
Kama mapenzi ni kitabu nitakusoma siku zotee,
we ndio maisha yangu Niko radhi kwa lolotee,
eee
penzi lako matibabu ya yote yotee,
ah
give me love, give love.
mwezi umeniandama na jua nimezaama, sitapenda uwe mbali kwangu ngumu saana.
mwezi umeniandama na jua nimezaama, sitapenda uwe mbali kwangu ngumu saana.
baby tuwe wote, tuwe wote,
nataka tuwe wote, tuwe wote,
acha tuwe wote, tuwe wote,
nataka tufe wote, tufe wote.
baby tuwe wote, tuwe wote,
nataka tuwe wote, tuwe wote,
acha tuwe wote, tuwe wote,
nataka tufe wote, tufe wote.
mie Sina drama ninachojua kupeti kupeti,
oooh mamaa!
your ma' soulmate mate,
we mtoto umeniweza ka Toto nasiamuki tena.
mwezi umeniandama na jua nimezaama, sitapenda uwe mbali kwangu ngumu saana.
mwezi umeniandama na jua nimezaama, sitapenda uwe mbali kwangu ngumu saana.
baby tuwe wote, tuwe wote,
nataka tuwe wote, tuwe wote,
acha tuwe wote, tuwe wote,
nataka tufe wote, tufe wote.
baby tuwe wote, tuwe wote,
nataka tuwe wote, tuwe wote,
acha tuwe wote, tuwe wote,
nataka tufe wote, tufe wote.
ooh iyee!
oooh iye yeye!
ooooh uuuh nono nono!
aaah yeaah!
uyee!