Lawama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Lawama - Hemedy PHD
...
Hahaya.....hahaya...hahaya
ulisepa mara ya kwanza nkakuambia Rudi home...ukataka sepa Tena nkasema tulia home weweee mmmh
ukasepa mara ya pili ukanizidi niumiza roho,nkapiga goti kwko mama naomba urudi hautakii haunitaki Teena
Haujui kama naumia moyoni
Haujui kama unaniumiza moyoni
Anauliza mama Yuko wapi simuoni...nitamjibu nn mtoto wa mwanamke kuwa na huruma wee
Ctaki ( lawama×7)
yeeeh jaja jaja jaja ×5
Umenivuruga (akili),umeniacha buba (katili) moyo umeukoroga dhahiri yeeeeh
I'm serious you laughing, I've been real you acting,furaha yangu siipati yeeh×2
Baby haujui(haujui) haujui kama naumia moyoni,haujui kama unaniumiza moyoni,anauliza mama Yuko wapi simuoni.. nitamjibu nn mtoto wa mwanamke kuwa na huruma weee
Sitaki lawama,lawama,lawama,lawaaama wee
Sitaki lawama, lawama, lawama,lawamaaaah
yeeeh (jaja)5
I don wanna see you with nobody, nobody noo nobody yeeeh
I don wanna see you with nobody.