Ni Wewe ft. Deddy - Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Ni Wewe ft. Deddy - - Hemedy PHD
...
INTRO
Baby shower me wit u're love wo wo wo wo
Never leave me
We! don't go far
CHORUS
Na hisi ni wewe yes ni wewe tu ulie tumwa uje unipende nikupende mama all my life
V1.
Nilikua gizani
Mawazo mengi kichwani
Uliniokoa ukanitoa mashakani
Umetoka wapi wapi oh hayaaa
We si wa Dunia hii oh hayaaa
We ni malaika heee ulitumwa hee
Nisaidia nisaidia
Eh Natamani ulimwengu mzima ujue Nakupenda we
Na Mungu amenipa uhai pumzi yangu tembea nawe eh
Na hisi ni wewe yes
Ni wewe tu
Ulie tumwa uje unipende nikupende
mama all my life*2
V2.
Nikianguka wani inuaa
Nikiruka kwa ajili yako
Na paa kama njiwaaa
And u got me saying
I love you baby
I love yaaa
I need u baby*3
I love you I love you I love you
Eh Natamani ulimwengu mzima ujue Nakupenda we
Na Mungu amenipa uhai pumzi yangu tembea nawe eh
Na hisi ni wewe yes
Ni wewe tu