Mkimbie Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Mkimbie - Hemedy PHD
...
……
Mmmmmmmmmh
Usiku kucha mi silali moyo wangu unaenda mbiooo
Mpenzi umekwenda mbali kucha kutwa mi kilioo
Japo tusi afadhali nitukane mi mwenziooo
Ilii nikaee nijueee eeeh badoo mzima wewee
Aaaaaaah aaaaaaahh
Rudi kwanguu mkimbieeee
Aaaaaaah aaaaaaaaaaah
Achana nae ue na mieee
Aaaaaaah aaaaaaaaah
Asikufanye we ulieeeee
Aaaaaaah aaaaaaaahhh
I wanna put ring on your finger
Would you be my wife
Nanaa naanaa
Would you be my wife
Naaanaa naaanaaa
Would you be my wife
Naaanaaa naaaanaaa
Upendooo every dayy naanaaa
upendo wa kipekee ×2
nataka halalisha ili leo uwe wangu wa maisha leo