Hallo Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Hallo - Hemedy PHD
...
Nipo na wewe
Nielewe uko mwenyewe
Nafsi ipo nikuache wewe
Uchezewe na mwingine wee
And I wonder where you are
And I wonder what you do Mpenzi
Mi nabaki nashangaa
Jinsi ulivonihukumu Siwezi
Beiby hallo, beiby hallo
My lover, my lover
Beiby hallo, beiby hallo
My lover, my lover
Aiyeyeye, Aiyeyeye
My lover, my lover
Aiyeyeye
Nilikukabidhi nafsi na roho
Uvikumbatie muda wote uniwaze
Nimezoea uwepo wako, nihurumie
Rudi japo nilale
Kazi sifanyi mi nabaki kula kaya
Vurugu mechi na nyumbani mambo mbaya
Ili nisile nilale chini yote sawa beiby
Kazi sifanyi mi nabaki kula kaya
Vurugu mechi na nyumbani mambo mbaya
Ili nisile nilale chini yote sawa beiby
Utaniua heee
And I wonder where you are
And I wonder what you do Mpenzi
Me nabaki nashangaa
Jinsi ulivonihukumu Siwezi
Beiby hallo, beiby hallo
My lover, my lover
Beiby hallo, beiby hallo
My lover, my lover
Aiyeyeye, Aiyeyeye
My lover, my lover
Aiyeyeye
Mateso yangu
Ni sababu ya wewe
Machozi yangu
Kutengana na wewe