Imebaki Story Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2016
Lyrics
Imebaki Story - Hemedy PHD
...
sumu HB
maneno in sumu
yalishaniukumu
kukniacha sikulaumu
kunirudia ni vigumu(we mama)
kwani uyo uyo wanasema mangapi
mbaka yaniafika kwako lei unasema unitaki &2
pole pole pole
imebaki stori stori(mmmh)
nipotee uwe na mwingine
wanataka uwakosee uwe na mwingine
wanataka nikosee uwe na mwingine
my baby am sorry sory (eeeh)
usije kuzima taa ukaniacha gizani kwan maumivu ya mapenzi na kidonda hayafanani
we hata ukinuna moyo wangu taaban
nimekua mbali nawe eeh
umesikiliza maneno oooh in sumu
ukayaamini maneno ukaniukumu
pole pole poleee
imebaki story story story
nipotee use na mwingine wanataka nipotee use na mwingine
wanataka nipotee uwe na mwinginee
my baby am sory sory sory