Far Away Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2015
Lyrics
Far Away - Hemedy PHD
...
Instrumental
Watu wanadhani, Mimi napenda kuwa mwenyewee,
Hata kula sitamani ila hawajui sababu ni wewee!
Wakikaa (aaa), wanasemaa (aaa) kwamba wewe umekwenda mbali (kwenda mbali),
Tena nashangaa (aaa) wakisema (aaa) huko uliko wewe hujali,
Rudi nyumbani nakutamani,
You are My number one eeiee
You are only to me, I'm so lonely, Njoo kwangu Shori eeieee
Rudi Nyumbani
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Kila nikikumbuka vituko vyako, nabaki naliaa,
Hao rafiki zako, wanavyoniponda, nabaki naumiaa,
Wakikaa wanasemaa kwamba wewe wala hujalii (wala hujali)
Tena wakikaa wanasemaa upendo kwangu, umekwenda mbalii
Rudi nyumbani nakutamani,
You are My number one eeiee
You are only to me, I'm so lonely, Njoo kwangu Shorii eeieee
Rudi Nyumbani
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Ni mawazo na pombe,
Ni mawazo na pombee eee,
Presha inapanda na kushuka,
Presha inapanda na kushuka,
Ukichelewa inapanda na kushuka, Presha inapanda na kushuka,
Ukichelewa inapanda na kushuka, Presha inapanda na kushuka,
Ukichelewa inapanda na kushuka eeii
Rudi nyumbani nakutamani,
You are My number one eeiee
You are only to me, I'm so lonely, Njoo kwangu Shorii eeieee
Rudi Nyumbani
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Aaaah Aaa Aaa-aaah
Presha inapanda na kushuka,
Presha inapanda na kushuka,
Ukichelewa inapanda na kushuka, Presha inapanda na kushuka.
Ooooooh.
Instrumental