Rest Of My Life ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2013
Lyrics
Rest Of My Life ft. Mr Blue - Hemedy PHD
...
woow wowow haya mapenzi sio sumu nakwambia wee unieleweee mmmh! nilipotoka wengi walishanikimbia weeee nimebaki naweweee mmmmmh!, she is just my friend atabaki rafiki tu she is just my friend mapenzi nae siwezii X 2, mmmh aiyaaaaa! Raha zako zote nitakupatia utamu nje ndani nitakunzia wewe ndyo my baby,