Carolina Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Carolina - Hemedy PHD
...
Pappination
I'm back again with a love song
Well, I'm in love with di alien
Maana h'uishiwi maajabu
Taabani yangu hali
I'm crazy over you
Uwepo wako kwangu dawa
Nitake nini tena?
You're my angel,
My life.
Pretty woman,
My wife.
Ninachokosa kwako upendo
You're my lady,
My life.
Pretty woman,
My wife.
Ninachokosa kwako...
Carolina
We carolina
Carolina
We carolina
Nakuita hello caro
Can u hear me
Nakuita hello caro
Do u believe me
Nakuita hello caro
Can u feel me
Hello caro
U ready to leave me
Basi punguza madharau
Nipone angalau
Machungu nitasahau
Eeiyee
Umetekwa na washika dau
Mi ukanisahau
Iwe kwa shida na raha
Hata juu nitapaa
Wewe na mimi
eeeh
We carolina
Caro (unanitesa mama)
We Carolina (aaagh)
well, I'm in love with di alien
Maana huishiwi maajabu
Taabani yangu hali
I'm crazy over you
Uwepo wako kwangu dawa
And if u wanna go
Usione soo
Let me know
Let me know