
UNAONEWA ft. Stevo Simple Boy Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2025
Lyrics
UNAONEWA ft. Stevo Simple Boy - Pole Classic
...
Vocalister!!
It's Mazoo on the beat baby
Okay!!
Dunia tunapita itabaki milima,
"Mmh itabaki milima"
Utamu wa rhumba ni kurindima,
"Mmh ni kurindima"
Asiyee vunja mifupa,
Ukiweza weka chupa kwa kichwa,
Aiseeh
Jipange usipangwe
Maisha ni mafupi jibambe
Eeeh nina jambo,
Mwenzenu nina jambo,
Wala si majigambo,
Sijui amenishika kwa chambo,
Eeeh nina jambo,
Mwenzenu nina jambo,
Wala si majigambo,
Sijui kanishika kwa chambo,
Nyumbani nina ratiba,
Kupika ni mimi napika,
Maazima nimezama kwa hili penzi,
Hata kufua ni mimi nafua,
Ahaa
Unaonewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo porojo zako,
Unagongewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo kelele zenu
Ahaa
Unaonewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo porojo zako,
Unagongewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo kelele zenu,
Au sio,
Stivo Simple Boy,
Ndio maanake,
Okay!!
Anakupenda ama umekaliwa,
Umemteka au umewekwa,
Hehehe kumbavu zako,
Hawaa, weeh
Mmepoteza utamaduni,
Ndio manake, wanaume duni,
Unadhani unapenda,
Umbwa wewe unachezewa,
Hello,
We ukifua wengine wanamega,
Mapenzi da da,
Bila hela la la
Endelea kukaa kaa,
Mapenzi si kuumizana,
Nilipenda ma star,
Wakaniletea u star,
Ety wana back,
Juu nimeng'aa mtaa,
Shetani ashindwe,
Nyumbani nina ratiba,
Kupika ni mimi napika,
Maazima nimezama kwa hili penzi,
Hata kufua ni mimi nafua,
Ahaa
Unaonewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo porojo zako,
Unagongewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo kelele zenu
Ahaa
Unaonewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo porojo zako,
Unagongewa,
Hizo hizoo,
Hizo hizoo kelele zenu,