Hellow Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Hellow - Pole Classic
...
Intro
Hallow, Hallow, Hallow, Hallow
Aaaah aaaah aaah
Hallow, Hallow, Hallow, Hallow
Aaah aaaah aaah
We nikama ua,
Linapochanua,
Nikikukosaa,
Mahaba yataniuaa,
Kiganjani nimechora yako nembo,
Kama ishara ya upendo,
Kama chambo nimenasa,
Magneto nimekwama,
Pokea zawadi,
Ya upendo wangu,
Ingawahi dhoruba,
Utabaki kuwa waangu
Kidume najiaminii,
Tule yaminii,
Nitakulinda maishanii,
Huba lako utamu wa tende,
Wapende wasipende,
We ni zaidi ya sembe,
Wengine wakwende,
Tuwalenge tuwatengee,
Kwako nmezamaa..
Eieeh..
Am falling in love,for you,
"Je t'aime de toute ma vie" ( i love you for all my life)
Am falling in love,for you
"Tu es la selle de mon avie (You are the only one i need)
Am falling in love for you,
"Mon bebe,mon bebe"
Am falling in love for you,
Eeeh eeeh...
Hallow, Hallow, Hallow, Hallow
Aaaah aaaah aaah
Hallow, Hallow, Hallow, Hallow
Aaah aaaah aaah
Ukuta wa mapenzi,
Walisha ubomoaga,
Ila wewe mpenzi,
Ukaja ukaujengaga,
Hapo mwanzo walinitenda,
Umenifanya nipende tena,
Ila kwangu we ndo difenda,
Nitakulinda wewe,
Hao wengine bye bye babe,
We ndo nakudaidai sherry,
Hao wengine bye bye babe,
We ndo nakudaidai sherry,
Huba lako utamu wa tende,
Wapende wasipende,
We ni zaidi ya sembe,
Wengine wakwende,
Tuwalenge tuwatengee,
Kwako nmezamaa,
Eieeh..
Am falling in love,for you,
"Je t'aime de toute ma vie" ( i love you for all my life)
Am falling in love,for you
"Tu es la selle de mon avie (You are the only one i need)
Am falling in love for you,
"Mon bebe,mon bebe"
Am falling in love for you,
Eeeh eeeh...
Hallow, Hallow, Hallow, Hallow
Aaaah aaaah aaah
Hallow, Hallow, Hallow, Hallow
Aaah aaaah aaah