Unyama Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Unyama - Pole Classic
...
Intro
Unyama,
Unyama,
Unyama,
Unyama,
Kanavimba mikogo,
Kiuno cha kimbogo,
Katoto ka kikongo eeeh,
(Ooh ka kikongo)
Huko nyuma lawama,
Mikiki ya wanyama,
Kaishi kuchutama,
Mathare mathare,
Toka mathare,
Salale salale,
Tupige sherehe
Aaah,
Nawasha nainuka kibiti,
Piga mechi mpaka asikie fity,
Kibamia chunga ndio kwichi kwichi,
Kifaranga meza mbwa sio kesi,
Walisemaga sitaweza toboa,
Piga kitu mpaka mseme kina boa,
Sina vocha hadi leo naokoa,
Konde boy alisema ameloa,
Chorus
Unyama,
Unyama,
Unyama,
Unyama,
Pole wenu nimewaka,
Naipenda chaka chaka,
Hujaguza kamewakaa,
Wahumini na sadaka,
Mathare mathare,
Toka mathare,
Salale salale,
Tupige sherehe
Aaah,
Fungo moja la pigo,
Yani mpaka majogo,
Mwenzenu nina mawazo ooh,
Mwenye mafunzo kibao,
Natembea bila gogo,
Kwa sasa nipo likizoo,
Kama mwaanzo,
Nilipokuona nikaishiwa nguvu weh,
Sina shaka na mwanzo,
Nimedata nitazishusha nyavu eeh
Sina shaka,
Nimezaa penzini,
Bando tuzifunge weh,
Si tatizo umbea,
Mtaani msanii kaolewa weh
Nimeibiwa demu na boda boda,
Kisa chupa yangu haina soda,
Penzi wiki tu kabebeshwa na mimba,
Zima taa nikijazie kikoba,
Nimeibiwa demu na boda boda aah
Kisa chupa yangu haina soda,
Penzi wiki tu kabebeshwa na mimba,
Zima taa nikijazie kikoba,
Chorus
Unyama,
Unyama,
Unyama,
Unyama,
Unyama,
Pole wenu nimewaka,
Unyama
Naipenda chaka chaka,
Unyama,
Hujaguza kamewakaa,
Unyama,
Wahumini na sadaka,
Mathare mathare,
Toka mathare,
Salale salale,
Tupige sherehe
Aaah,
Outro
Nimeibiwa demu na boda boda aah
Kisa chupa yangu haina soda,
Penzi wiki tu kabebeshwa na mimba,
Zima taa nikijazie kikoba,
Written and Composed by Pole Classic