Habibi Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Habibi - Pole Classic
...
Verse 1
Tupige stori za upendo,
Jua namaanisha,
Sio skendo na vitendo,
Nisilikose lako pendo,
Kisura kichuna umejaliwa,
Kisura kichuna umejaliwa,
Sema twende wapi,
Aaah,
Tukaspendi wapi,
Aaah,
Sema twende wapi,
India,india aaah
Lemme dance with you,
Sing for you,
For you,
Kuch kuch hota hai,
Mahaba ya mumbae eeh
Kuch kuch hota hai,
Mahaba ya mumbae eeh
Eeeh
Chorus
Aisha, aisha,aisha,
Will you be my gurl,
Ndakuyanza,ndakuyanza,
Ndakuyanza,
Come spend with me,
Aisha, aisha,aisha,
Will you be my gurl,
Ndakuyanza,ndakuyanza,
Ndakuyanza,
Habibi...
Verse 2
Nimejaliwa upendo,
Sina moyo wa,
Kutenda na kuendaga,
Amini nisha fall in love,
Uuh fall in love,
Nimekolea,nishapagawa,
Joto la pwani,
Limenipeleka baraa aah,
Sinipeleke mpera mpera,
Aaah,
Nikalia parariraa,
Sinipeleke mpera mpera,
Aaah,
Nikalia parariraa,
Lemme dance with you,
Sing for you,
For you,
Kuch kuch hota hai,
Mahaba ya mumbae eeh
Kuch kuch hota hai,
Mahaba ya mumbae eeh
Eeeh
Chorus
Aisha, aisha,aisha,
Will you be my gurl,
Ndakuyanza,ndakuyanza,
Ndakuyanza,
Come spend with me,
Aisha, aisha,aisha,
Will you be my gurl,
Ndakuyanza,ndakuyanza,
Ndakuyanza,
Habibi...