Nawewe Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Nikikuwazaga mwenzako wewe napata taabu
Sheria nimezitunga mwenyewe sasa sioni gubu
Pazia lifunikie nyama tele wangu tabibuu
Kichwa changu japo kizito mapenzi ajabuu
Ooh lalaa
Akili imechooka kufikiria
Nimekuanzishia we endelea
Huba zako mwenzangu zime nikolea
Usitoke nitakosa pa kuendea
Nakuoota mwenzako umenitosha
Unavyodeeka mi kwako nitakesha
Mi napeenda unavyoniendesha
Yote tisa na kumii
Chorus
Twende na wewe
Nawe
Twende na wewe
Nawe
Twende na wewe
Nawe
Mimi na wewe eeh eeh
Nawe
Verse 2
Kachiri kachiri kachiri saga
Ndo silali mwenzako nishike hapa
Nakupenda mpaka mimi naogopa
Wa Karima atujalie nitaokota eeh
Usiwe mwana isaya roho ngumu utanishika pangu pabaya
Au niende kwetu siaya vaibu la bongo kisha wangu changama
Nakuoota mwenzako umenitosha
Unavyodeeka mi kwako nitakesha
Mi napeenda unavyoniendesha
Yote tisa na kumii
Chorus
Twende na wewe
Nawe
Twende na wewe
Nawe
Twende na wewe
Nawe
Mimi na wewe
Nawe
Twende na wewe
Nawe
Twende na wewe
Nawe
Twende na wewe
Nawe
Mimi na wewe
Nawe
Eeeh eeh eeh
Mimi na wewe
Mimi na weh
Aaah