My Love ft. B Classic Kenya Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Busara na upolemoyo unasukuma damu
Umejaliwa shepu urembo tenahauna ka-so-ro
Unanipa raha moyoni baby wewe wewe
Siwezi subiri kuishi na wewe milele
Baby vitamtam vitamtam
"Wewe"
We ndo unanipea mashamsham
Baby vitamtam vitamtam
We ndo unanipea mashamsham
Baby me I can't do without you
My Love
My Love
My Love
Baby me I can't do without you
My Love
My Love
My Love
Pole Classic
My Sherrywe roho yangu
Kwako ni kamanime-ekewa hirisi
'Vile napendwa nachizi'
Bora niwe kafukuswiwa mapenzi
Bora najua mwenyewekile napewaaah
Hawapendi tukipendanatukiendana
Hawapendi tukifuatana hao
Hawapendi tukipendanatukiendana
Hawapendi tukifuatana hao
Mmh
Baby vitamtam vitamtam
"Wewe"
We ndo unanipea mashamsham
Baby vitamtam vitamtam
We ndo unanipea mashamsham
Chorus
Baby me I can't do without you
My Love "My Love"
My Love
My Love "My Love"
Baby me I can't do without you
My Love "My Love"
My Love
My Love