Zubeida Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Zubeida - Pole Classic
...
Jamani Mungu kakuumbaa eeh,
Huyu dada ye kafika eeh,
Sina afadhali,nimtoe kigali
Kwangu mi malaikaa,
Jamani Mungu kakuumba aah,
Huyu dada ye kafika eeh,
Sina afadhali,nimtoe kigali
Kwangu mi malaikaa,
Maneno ya wambea,
Yasikupe we kigugumizi baby,
Si tuta bebembea
We ni wangu asilimia zote eeh
Kila nikitembea,
Nakuona we kwenye mboni ya macho yangu,
Tutafika kidedea,
We asali na tamu yangu uuh,
Twende zanzibari, (Aah aaah)
Twende forodhani, (Aah aaah)
Tupande na farasi,
You know that i love baby iih,
Twende zanzibari, (Aah aaah)
Twende forodhani, (Aah aaah)
Tupande na farasi,
You know that i love baby,
Chorus
Aya yaya (Huyu mwali)
Aya yaya (Ninampenda,pendaa)
Namsifia,mi namsifia aah
Aya yaya (Huyu mwali)
Aya yaya (Ninampenda,pendaa)
Namsifia,mi namsifia aah,
V2
Nilipewa zawadi,
Na Rabuka nimjuae,
Rehema kwa Mwenyezi,
Kubali aishi nawe,
Sikusita kukubali,
Maji ya kunde ndio rangi yake,
Zubeida ni jina lake,
Ana mwendo wa kobe kobe,
Twende zanzibari, (Aah aaah)
Twende forodhani, (Aah aaah)
Tupande na farasi,
You know that i love baby iih,
Twende zanzibari, (Aah aaah)
Twende forodhani, (Aah aaah)
Tupande na farasi,
You know that i love baby,
Chorus
Aya yaya (Huyu mwali)
Aya yaya (Ninampenda,pendaa)
Namsifia,mi namsifia aah
Aya yaya (Huyu mwali)
Aya yaya (Ninampenda,pendaa)
Namsifia,mi namsifia aah,