Bestie Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2024
Lyrics
Bestie - Pole Classic
...
Verse 1
Nilijua ni urafiki tuu,
Eeh aah
Kando ya urafiki,
Sikuona kingine,
Aaah,
Nilijua ni ubestie tuu,
Na ndo maana sikumind,
Kuna tabasamu fulani,
Nishawai ona,
Ila yote sikumind,
Sikujua bestie atageuka mpenzi,
Na mie,niachwe upweke,
Zile "My love you" tu
Sikuwahi jua,
Unanichezea,
Baada ya kukupa moyo,
Sikujua unanigeuzia,
Roho yangu ukiichezea,
Sikujua unanigeuzia,
After yale tumepitia,
Sikujua unanigeuzia aah,
Roho yangu ukiichezea,
Sikujua unanigeuzia aah
After yale tumepitia,
Oooh
Hauna,hauna huruma hauna,
Hauna,hauna huruma hauna,
HAUNA!!
Hauna,hauna huruma hauna,
HUNA HURUMA!!
Hauna,hauna huruma hauna,
Eeeh,aaah
Huna hurumaa
Mmh
Verse 2
Mwanzo maisha yangu yote,
Nilikuwa nakuhitaji,
Biashara zangu sikuwa na mtaji,
Bora kutapa kuliko kufa maji,
Eeh eeeh
Kwenye anga zangu ni wewe
"Wewe"
Ubavu wangu ni wewe,
Kinachobaki milele,
"Milele"
Nizikwe basi mwenyewe
Eeeh,
Aliyekuwa ubavu wangu mie,
Kanivunja moyoo,
Sikujua unanigeuzia,
Roho yangu ukiichezea,
Sikujua unanigeuzia,
After yale tumepitia,
Sikujua unanigeuzia aah,
Roho yangu ukiichezea,
Sikujua unanigeuzia aah
After yale tumepitia,
Haunaa!!
Hauna,hauna huruma hauna,
Haunaa!!
Hauna,hauna huruma hauna,
Huna huruma!!
Hauna,hauna huruma hauna,
Huna hurumaa,
Hauna,hauna huruma hauna,
Huna hurumaaa!!