Kesho ft. John Isa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kesho ft. John Isa - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow 254790511905
sina hofu sina shaka hata nikikosa power
maana riziki mafungu saba unagawa sawa
bila ubaguzi wala kipimo si kama dawa
halafu wasiwasi naipa kisogo kama swara
mapenzi yako sawa
ukishasema sawa
Neno lako sawa
mimi, sipingi hata kamwe
mimi najua kesho
mambo yatakuwa sawa
kesho...
mambo yatakuwa sawa
mimi najua kesho
mambo yatakuwa sawa
kesho
mambo yatakuwa sawa
lyric sync by Phellow 254790511905
huyu Mungu
anapeana ushuhuda kwa wale wanaomngojea
ah aa
matatizo tu ya dunia
yasikufanye ukufuru Mungu
asubuhi yako ya furaha itawadia
Wana wa Israeli aliwafanyia njia
mbele bahari kando milima
nyuma wanajeshi
tatizo lako kwake ndogo
aibu yako atafunika
machozi yako atapanguza
kesho atakupa ushuhuda
mimi njua kesho
mambo yatakuwa sawa
kesho....
mambo yatakuwa sawa
mimi najua kesho
mambo yatakuwa sawa
kesho kesho kesho
mambo yatakuwa sawa
lyric sync by Phellow 254790511905
ingawa mambo yamepinda sioni vibaya
milima mirefu napanda kesho nitang'ara
Yesu ataniganga vidonda
neema itatawala
kwenye level za juu nitapanda mie
nitapandisha bendera
sitarajii kushindwa kamwe
ataniweka pahala aah
mimi nitakuwa sawa
kesho nitakuwa sawa
kiuchumi nitakuwa sawa
kwenye afya yangu
nitakuwa sawa
kwenye ndoa yangu
nitakuwa sawa
lyric sync by Phellow 254790511905
mimi najua kesho
mambo yatakuwa sawa
kesho
mambo yatakuwa sawa
mimi najua kesho
mambo yatakuwa sawa
ooooh kesho kesho lesho
mambo yatakuwa sawa
aaah usife moyo
mambo yatakuwa shwari
usikate tamaa ndugu
mambo yatakunyokea
wewe uliyekataliwa
mambo yatakuwa sawa
eeeeeeeh sawa ooooooooh
aaaah usife moyo
mambo yatakuwa shwari
usikate tamaa ndugu
mambo yatakunyokea
wewe uliyekataliwa
mambo yatakuwa sawa
eeeeeh sawa oooooooh
mimi najua kesho
mambo yatakuwa sawa
kesho
mambo yatakuwa sawa
mimi najua kesho
mambo yatakuwa sawa
kesho
mambo yatakuwa sawa
lyric sync by Phellow 254790511905