![Tamalaki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/12/3a62d4ad3c174aed865ee96de600fbccH3000W3000_464_464.jpg)
Tamalaki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2015
Lyrics
Tamalaki - Rose Muhando
...
lyric sync by Phellow 254790511905
Ee Bwana umetamalaki dunia yote
mshangilie eeeh nani kama wewe ehee eeh
Mbingu zahubiri utukufu wa jina lako
na sifa zako eeeeeh uinuliwe eeh!
sifa zimepita mpaka chini ya vilindi vya bahari ee eeeh
uabudiwe eeeh
yale maji yalipokuina Bahari ya Shamu
yalipisha njia eeeeeeh uinuliwe
mataifa waliposikia habari zako
walitetemeka eee iiyee eh
halelluya Baba
wafalme walipoyaona matendo yako
walitetemeka ee eeeh halelluya
wakasema wewe ndiwe Bwana
wakasema wewe ndiwe Mungu
kwa hakika wewe ndiwe Mfalme
ni Mungu wa dunia yote
umefanya agano na watu wako
agano la milele ah
uhimidiwe eehiyeeeeee eeh
tamalaki......
jina lako lina uweza
tamalaki ......
jina lako lina nguvu
tamalaki .......
tamalaki wamama wakuone Yesu
tamalaki.........
tamalaki dunia ikujue
tamalaki ..........
tamalaki dunia aikuone
tamalaki ......
tamalaki wababa wakuone
tamalaki..........
tamalaki wagonjwa wakuone Yesu
tamalaki........
tamalaki wafalme wajue wewe ni Mungu
tamalaki............tamalaki......
heiyeeeeeeeee eeeeeeeh!
tawala Baba tawala Mungu tawala Yesu
wacha nikuinue pekee yako
wacha uinuliwe pekee yako
wacha usifiwe pekee yako
hakuna Mungu mwingine kama wewe
wacha uinuliwe pekee yako
******verse 2******
Toka mbinguni tumesikia mshindo wa jina lako
na sifa zako ooh nani kama wewe eeeeh!
umewavika vazi la sifa watu wako mwokozi
badala ya aibu eeeeh
uhimidiwe eeeh
kama mfano wa simba umeketi kwenye njia kuu
hodari wa mawindo eeh
uinuliwe eeeh !
ulitikisa malango ya kuzimu falme za kiza zilitetemeka
eeeiyeeee uhimidiwe eeeh
tunasema wewe ndiwe Bwana
tunasema wewe ndiwe Mungu
hakika wewe ndiwe mfalme
ni Mungu wa dunia yote
umewapa ahadi wakupendao
uzima wa milele eeeh
uhimidiwe eeiyeee eeeh
.............refrain.......
tamalaki ....tamalaki
jina lako lina nguvu
tamalaki....
nakuabudu Mungu wangu tamalaki
tamalaki....
nakuinua Jehova
tamalaki
nakushukuru Mungu wangu
tamalaki
jina lako lina uweza
tamalaki
tamalaki watu wako wakuone
tamalaki
tamalaki kanisa likuone
tamalaki
shuka sasa watoto wakuone
tamalaki
tamalaki magonjwa yakaondoke
tamalaki
tamalaki wengine wainuliwe
tamalaki
eeeeeiyee eeeeeeeh
halelluya Jehova
tamalaki Mungu uliye hai
inuka kwenye kiti chako cha enzi
simama ukutane na watu wako
simama ukutane na shida za watu wako
kutana na maumivu ya watu wako
wengine wanalia kukataliwa
amka Mungu ukutane na watu wako
tembea ukutane na shida za watu wako
angalia wengine wamekosa kazi
angalia wengine wamefukuzwa kazi
angalia wengine wanalia umasikini
wengine wana magonjwa sugu
ee Mungu ..
timiza ahadi yako kwa watu wako...
simama uliangalie Neno lako
ukatende sawa na Neno lako
halelluya
Jehova
nakuabudu Mungu
uheshime uinuliwe Baba
halelluya Yesu...
tamalaki Baba ...
halelluya Baba..
tamalaki
halelluya Baba
halelluya Mungu
halelluya Yesu
uhimidiwe
nakuabudu Yesu
nakuinua Baba
nakutukuza Mungu
heshima ina wewe
nguvu zina wewe
heshima ina wewe
mamlaka ina wewe
uweza una wewe
nguvu zina wewe
heshima ina wewe
uweza una wewe
eeeeiyee
uinuliwe Jehova
uinuliwe Baba
ushukuriwe Mungu
uabudiwe
uinuliwe
ushukuriwe ...
uinuliwe
ushukuriwe
uinuliwe
ushukuriwe
halelluya
uinuliwe Baba
uinuliwe
wacha Mungu uinuliwe wewe
wacha nikuinue
wacha nikutukuze
wacha nikuabudu
eeeeeeiyeee eeeeeeh
******piano***
tamalaki......
tamalaki (speaks between the chorus) tamalaki
******piano*****
uuuuh......(with additinal ad libs)
eeeeeiyeeeeee eeeh
tamalaki. .........
jina lako lina... eiyeee
tamalaki
eiyeee
tamalaki
Baba wacha nikuinue pekee yako
tamalaki
wacha Mungu ujitukuze mwenyewe
tamalaki
wacha Mungu usifiwe pekee yako
tamalaki
mtakatifu kuliko wote
tamalaki
utukufu una wewe Jehova
tamalaki
halelluya ...tamalaki
eeeiyeeee eeeeeh
uuuuh uuuuh uuuuh (with additional ad libs)
lyric sync by Phellow Aduvaga 254790511905
thanks for coming
May God bless Rose Muhando