
Dozi Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Dozi - Nandy
...
…….
Tushawaloga waloshika manyanga
Siwalipaka poda na chale wakachanja
Na kwenye vilinge udaku kwa madoti ya kanga
Nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karang
Imegeuka shilingi wanalia (wameyamwag)
Walizani magimbi kumbe beer
(Wameyavaga)
Nawapaka wino machino wenyewe wamechimba shimo moja jino kwa kisigino wanaungatrella nawazidi kimo
Oyaaaa atucheki na ndezi
Nimwendo wa dozi kama wagonjwa nawapa ulezi
Oyaaaa hatuwa bembelezi
……..
Ukivimba nameki kibaalia
Kamba kwa buti nakazia
Ukipiga kunuti napangua
Ukubwa wa shepu wanakalowah
Naitekenya kete ukipangua cheche
Mirusi makeke mteja na kete
Saluti,kuruti,kitekenya kacheka kanyuti,bunduki ,baruti,utapepea kama parachuti.
Twawapaka winoo…….