Nimekuzoea Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Nimekuzoea - Nandy
...
kimambo on the beats
Aiyaya.. Aiyayaa
Niko tuli baby kama maji kwa mtungi
Na unapuli baby nivute niishi nibaki kishungi
Aih.. zungu nibebe nibariki nigande ka gundi
Bakuli baby nilishe nishibe kitumbo ndindi Aih
Unanikoleza
Unanichombeza
Unanilegeza weeh!
Ukianzaga ndani unayaweza tu ndani
Kwenye meza sunami gereza ni we
Nakupenda nakuwaza forever u my boo
Unipende nipende
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nimee.. Nime.. Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nime.. nime.. Nimekuzoea
Aiyaya Aiyayaa aah
Kazoea vyote kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote kabobea mpaka kabobea tena
Naloea kote naloea mpaka naloea
Inakolea yote inakolea utamu kukolea tena
Nipo katikati nazungukwa na upendo
Tena naondokea wapi ameziba hajaacha hata pengo
Wanafikaga wapi peku bila sendo
Ufike sangapi kwetu tembea kwa wako mwendo
Nakupenda nakuwaza forever u my boo
Unipende nipende
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nimee.. Nime.. Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nimekuzoea
Nime.. nime.. Nimekuzoea
lyrics by
radiidesigner