Acha Lizame ft. Harmonize Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Acha Lizame ft. Harmonize - Nandy
...
4:04
Intro
Yao Yao Jeshi
Ooi Boy boy
Konde Boy
Verse 1 (Nandy)
Maembe suru chuku chuku ni sasamole
Mi naning'inia kwa marati nipopoe
(On the Beat)
Kiduchu nipe tena baba niue
Mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe
Mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu
Usiskize watu wananyongwa mbaya
Basi nifanyie kitu na boxy (Lazizi wee)
Usiku nipe shoti (Lazizi wee)
Ama ishike magoti (Lazizi wee)
Nilemshe mkomboti (Lazizi wee)
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy oooh ah Ukienda zako mi nitanyong'onyea
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy Oh ah Ukienda zako mi nitanyong'onyea
Chorus (Harmonize & Nandy)
Acha lizame! Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame! Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame! Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Acha jua lizame...
Verse 2 (Harmonize)
Mama unafanya tembo Kutwa nadindisha mkonga
We ndo kiboko ya warembo Wale wanaojipitisha vitonga
Penye dhiki na shuruba Mikeko ndo ulinikumbata
Piki piki upande Uber Popote nilipo ukanifwata
Mimi bado wananiita mzugaji (Nilingojea)
Sikidhi hata yako mahitaji (Nilingojea)
Sina biashara mtaji (Nilingojea)
Ulisema Mola ndo mpaji (Nilingojea)
Ooooh maana nipande tumwage mbolea
Baby Oh uh Oh ah Ukitaka tena tutaendelea
Oh Oh ooh Shamba mwaga maji nimwage mbolea
My baby Oh uh Oh ah Ukitaka tena tutaendelea
Chorus (Nandy & Harmonize)
Acha lizame! Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame! Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame! Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Acha jua lizame...
Whine nikuuliza Bora ningejitengea Oh nah nah
Outro (Nandy)
Oii boy boy, oooii boy boy
Yeah yeah yeah yeah
Oii boy boy
The African Princess
(Harmonize)
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea Asa whine nimecool na bora ningejitengea (Kondeboy)