Raha Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Raha - Nandy
...
Nawaza ingekuwaje kama ningekukosa
Nawaza,
ina maana hizi raha zote ningezikosa
Nawaza,
penzi limenikolea kama mtoto nashindwa tembea
Raha zimenibobea kwa mama nitakusemea
Wanasemaga penzi bonde na milima, nipeleke
Unachonipaga usidiriki kuinyima, mi nideke
Penzi limetaradadi oh yaharima acha nicheke
Milele oh mami nisimame wima (Unanipa raha)
Nazidi kuwa mdogo mi sikui (Unanipa raha)
Nifanye kitafunwa unile (Unanipa raha)
Zidi kunifundisha sivijui (Unanipa raha)
Nianze kukulisha ndo unile
Oooooh oooooooh oooooooh oooh
Hadi kucha zinaisha, nikikuona nazing'ata
Unavyonizubaisha, ninapagawa
Yani, tuache yote tisa, kumi nakupa limbwata
Unavyoniburudisha napagawa
Nakupenda unanipenda mpaka raha
Nikikuona tu nashiba sina njaa
Hili penzi limejawa na furaha
Wakikugusa natoa mtu kafara