Nibakishie ft. Alikiba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nibakishie ft. Alikiba - Nandy
...
mmmmmh oh oh oooh mmmh
yaani, nikikutazama
naiona dunia wangu peke yangu tu
jua linapozama, giza likiingia
natamani nikuine tu
ooh baby ukisakata rhumba
sijalewa nayumba
Caterpillar limebomoa nyumba mmmh
natamani nife nizikwe nawe
shida na raha nawe
niwe nawe
mwenzako nimepatwa na homa
umepasua ngoma
we baba ni noma mmmh
akili imesita imegoma
mwisho wa reli kigoma
ooh ooh
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
we ndio roho yangu (nibakishie) ×2
ooh baby
nishaharibu cocky ya mapenzi acha niloe
pacha wangu ni ww tunamatch sare sare
nitazurula kulilinda penzi
kwa ndumba na chale
tetere lipe mchele mzoga wake mwewe
ooh, basi nikabidhi
ooh, moyo sitopunja wala kupima aiyayaya
ai inanishaka ganzi na kichomi kuchoma
mwili mzima wa tetema ooh baby
baby, umetekenya Ngoma
we mama ni noma (noma)
mwisho wa reli kigoma kigoma kigoma
ooh ooh
oh baby (nibakishie)
usinipe vyote mie (nibakishie)
utaniua (nibakishie)
we ndio roho yangu (nibakishie) ×2
ooh baby eeeh
...