Wanibariki Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
WanibarikI - Nandy
...
ni wewe pekee wanijua vyema kwako siterereki kwamwe
wanitenda mema na kunipa heshima umenifanya nisimame
na kama nikishikwa na shida ntakimbilia hekaluni mwako
ntaijaza nafsi mbele zako bwana ntasema yote yanayonishinda
nilipo mie na wewe upo
nilipo mie na wewe upo Bwana
wanibariki eh
sitokuacha milele
wanilinda mie
nitakuabudu milele
hakuna shida tena Wala hakuna mashaka
umenivua laana umenivika baraka
moyo wangu wakutamani ewe baba nafsi yangu yakulilia
umenijaza imani sio haba neno lako nashikilia
umenishika mkono wako (Asante)
umenivusha magumu (Asante)
nilipo mie na wewe upo
nilipo mie na wewe upo Bwana
wanibariki eh
sitokuacha milele
wanilinda mie
nitakuabudu milele