Sasa Hivi Remix ft. V-BE Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Sasa Hivi Remix ft. V-BE - Nandy
...
Mmmmmh mmmmmh mmmmh
Washajua wazaziiii pacha wangu mimi mwili wewe nafsiiii
Furah yangu hata itusumbue na simanzi mapenzi upofu ntakufata hadi gizani
Ujeeeeeeeeeeee
Ushanichagua rusu nikutunze jinsi ya kukupenda nijifunze hadi uzeeeni penzi tulikuze iyo nawez garanteeee!
Kesho yetu usifananishe na jana lami na reli hazitoshani upana uchumi mbaya but I spend my today with you leo iko na guarantee
Ntakuita wangu kabla uitwe na maulana you’re my rosee but I still give you flowers ntakupenda saaa iii na kasiii sahiiiiii yan sasa hivi*2
Sasa hiviiii sasa hiviii sasa hiviiiii ntakupenda sahiiiiii
Soon ntakusave na love emoj ntoe you’re ficial name PD bila woga tu licensees pete i buy some boxer you can share with me uache kuvist uish na me!
Kifunguo nkutolee copies usizubae kwa geti kitunguu tutoane ngozi uchi ujioneshe si valentine nkuwek pale kwa tv lazm uolewe yan u must be be
Kesho yetu usifananishe na jana lami na reli hazitoshani upana uchumi mbaya but I spend my today with you leo iko na guaranteee
Ntakwita wangu kabla uitwe na maulana you’re my rose but I still give you flowers ntakupenda saaaa iiii na kazi saa iii ni sasa hivi*2
Sasa hiviiiiiiiiiiiiiii ntakupenda sasa iviiiii I will give u flower aaaaah
Spend your favorite artist but nakupenda ntacompromize club under ur vile bager sifiki price
Nko na move kwa lapitment hatuwez shikana kwa theatre nkuandalie token kidog mitter inatepa kwa tishu Faln