- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Zuwena - Diamond Platnumz
...
Mhhh!! Habari gani kaka naamini unanisikia
Mimi mzima wa afya, mama Mungu anasaidia
Toka ulipotuacha mahututi anazidiwa
Bibi presha presha nae akatangulia
Bado twakuombea ulale salama pema
Japo moyoni nina dukuduku
Natamani kusema, nisemeee
Zile mali husia ulizotuhusia tuligawa salama
Zuwena zote tukampatia tusiwe ndugu lawama
Ila Zuwena kaka amebadilika sana
see lyrics >>Similar Songs
More from Diamond Platnumz
Listen to Diamond Platnumz Zuwena MP3 song. Zuwena song from album Zuwena is released in 2023. The duration of song is 00:03:48. The song is sung by Diamond Platnumz.
Related Tags: Zuwena, Zuwena song, Zuwena MP3 song, Zuwena MP3, download Zuwena song, Zuwena song, Zuwena Zuwena song, Zuwena song by Diamond Platnumz, Zuwena song download, download Zuwena MP3 song
Comments (1,242)
Top Comments (5)
£Ã~Yonna_Tz
Njama maflavour7
Narudia tena hatowahi tokea msanii kama wewe Tanzania jina la Simba lipo mahali salama The king of the Jungle>
jamali mahamudu juma
wale waliosem 'Mondi' kaishiwa nani!!? hata kweny mziki kuna Rotation......ya nyimbo n mantiki>
New Comments(1,242)
Alice Nakawalarmlcd
❤️❤️❤️ From Zambia
Wiley Boy
sawa mutoto
Lovylwigy
one of the hottest hits with a cool story line keep it burning buddy✓✓✓
Official Wise KidDa DFM
Im an up coming musician still struggling to make myself known to people. We dont like to support the rising Stars But we keep supporting already made stars. Im human too support me, follow me, make my star shine like other people, Take me to their level Im trying my best to meet up, and without you I can never do it on my own, listen to my music, comment your opinions, share pls.
Gift shirimagift78@gmail
nyimbo ni nzuri sans
122237787
Zuwena
175351148
NJOO WASAP NIKUELEKEZE BURE NAMNA YA KUTUMIA SIMU YAKO KUKUINGIZIA PESA ELF20 HADI ELF50 KILA SIKU NO 0748268301
Rania c2ni4
Zuwena [0x1f602]
Mwalenation
nice song
Emma :MM
[0x1f601][0x1f601]
Emma :MM
[0x1f601][0x1f60e] music [0x1f60e]

Naomba like ndugu zangu kwenye kazi ya zuwena>