Kitanda ft. Karen & Ibranation Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Kitanda ft. Karen & Ibranation - Foby
...
( Foby)
Kama ni adhabu tu, inatosha nishajifunza
kuinua macho juu uyafute nisamehe
au ngoja niondoke tu, yakiisha utanijuza
maana kunakoendea, nahisi utaniua
(Karen)
Sasa unaenda wapi lakini au ndo unarudi tena kule umalayani,
hayajapo haya rohoni unataka tena kuyapandisha kichwanii
(Foby)
Nitakaaje na mtu haongei wala makosa hayatambui,
sura yako hainiongopeiii, acha ty nichape lapa..
(Karen)
Nikulazimishe kubaki we ni nani embu kwenda ukoo, mtu mwenyewe huna hata kitu ndanii
unachotegemea kitandaa, kitandaa(x2)
(Foby)
mbona mi sitegemei kitandaa, kitandaa
sijawahi tegemea kitandaa, kitanda aah ah
Unataka, sema unataka iweje
kama maneno hata ya babu nishatumia bado unaniona bwege
(Karen)
mi nataka nijue unanichukuliaje
unichanganye kwenye gongo na mimi
hlo unalionaje
(Ibrah nation)
Tangu asubuhi nawasikia tu,
ugomvi mavurugu yanarudia tu...
mnampa faida nani, usiri wa ndani
wajue mpaka majiraniii eeeh...
mbona sisi ni wapangaji wenzenu tunagombana, ila yanaishia ndani kimya kimyaaa ooh!
(Karen)
Eeeeh! Hayakuhusu baba, we rudi nenda kapambane na yako umeruka vyumba saba.. kama si umbea ni nini?!
(Foby)
unawajibu watu vibaya, huna hata haya
unajikuta we ndo kiguu chaya aya aya eeh
kuna siku yakikukuta, sipo utamfata nani?!
maan kila mtu ushamsuta aaaah
nitakaaje na mtu hajitambui, hajui mema hajui adui
sura yako hainiongopei acha tu nichape lapa
(Karen)
Nikulazimishe kubaki we ni nani embu kwenda hukoo,
mtu mwenyewe huna hata kitu ndani, unachotegemea kitandaa kitandaa
unategemea kitandaa kitandaa
(Foby)
repeat !!