- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Moja ya ndoto zangu
Ndoto
Ni kuishi nawe milele
Ohh nawe milele
Kuishi nawe milele
Upendo na hisia zangu
Upendo
Haujawahi shikwa na mwengine
Ohh shikwa na mwengine
Haujawahi shikwa na mwengine
Unaondoka sawa
Ila roho yangu umeishika
Wewe kipenzi
Ningekuwa na chawa
Ningemwagiza kwako
Akuambie urudi
Sema ndo hakuna madoctor
Wa upendo wapime ujue
Athiriko nilivyoathirika moyo
Nikidondoka niokote
Na ukiumwa mi dawa
Tutapendana kivyovyote
Tulishachanjana
Sina la kusema lolote
Wakuchukuwe tu sawa
Mana mi ndo najua kwanini
Nilikosa muda
Ohh kweli mapenzi
Yanahitaji muda
Kuchitiana kugombana
Ni kwasababu ya muda
Ohhh mapenzi
Yanahitaji muda
Mi mwenyewe nateseka
Ni kwasababu ya muda
Kweli nimekosea
Na leo nakiri makosa kwako
Nilikuonea
Sikuwa na muda kabisa na wewe
Ulivumilia
Ukiwa unajua nitabadilika wowoo
Kumbe ndo kwanza
Ndo kwanza aaah
Unaondoka sawa
Ila roho yangu umeishika
Wewe kipenzi
Ningekuwa na chawa
Ningemwagiza kwako
Akuambie urudi
Sema ndo hakuna madoctor
Wa upendo wapime ujue
Athiriko nilivyoathirika moyo
Nikidondoka niokote
Na ukiumwa mi dawa
Tutapendana kivyovyote
Tulishachanjana
Sina la kusema lolote
Wakuchukuwe tu sawa
Mana mi ndo najua kwanini
Nilikosa muda
Ohh kweli mapenzi
Yanahitaji muda
Kuchitiana kugombana
Ni kwasababu ya muda
Ohhh mapenzi
Yanahitaji muda
Mi mwenyewe nateseka
Ni kwasababu ya muda
Sina la kusema
La kusema sina
Hata nikisema
Nitajiumiza mwenyewe