- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Akili yangu
Ishachomeka joto la tanuri
Maisha yangu
Bado yanivuruga
Vipaji vyangu
Yani kama vimelaliwa kwa kaburi
Juhudi zangu
Bado zanidodea
Naona joto laniunguza
Kijana mdogo ila kama ajuza
Natumwa boko naenda buza
Kichwani maluwe luwe
Hata kama hujui
Foleni yako iko wapi
We pambana usichoke
Usiogope adui
Ushakumbana na mangapi
Pambana usichoke
Ole wako oleeee
Ukate tamaa
Kwa hali ilivyo ngumu kitaa
Unafaida gani u star
Nitashika chepe na wana
Zege ntabeba ilimradi nipate pay
Na nikisha zinyaka bwana ntarudi
Kipajihakifagi ihhh
Ohh ohh hakifagi
Naona joto laniunguza
Kijana mdogo ila kama ajuza
Natumwa boko naenda buza
Kichwani maluwe luwe
Hata kama hujui
Foleni yako iko wapi
We pambana usichoke
Usiogope adui
Ushakumbana na mangapi
Pambana usichoke
Ole wako oleeee
Ukate tamaa
Ohh ndiyo kweli tunashida
Amini kwamba tutashinda
Kunja ngumi funga mkanda
Ohh lala ohh lala
Amini kweli tunashida
Wana kitaa tumechunda
Amini kwamba tutashindaa
Ohh lala ohh laa