Muda Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Muda - Foby
...
Moja ya ndoto zangu ni kuishi nawe milele, upendo na hisia zangu ,pendo hujawahi shikwa na mwingine ,
unaondoka sawa ila roho yangu umeishika wewe kipenzi,
ningekuwa na chawa ningemwagiza kwako akwambie kurudi, sema ndio hakuna madokta wa upendo wapime ujue, athiriko nilivyoathirika moyo ooh, nikidondoka niokote naukiumwa mi dawa, tutapendana kivyovyote tulishachanjana, sina la kusema lolote wakuchukue tu sawa, maana mi ndio najua kwanini nilikosa muda,
ooh kweli mapenzi, yanahitaji muda, kucheat ana kugombana ni kwasababu ya muda..oooh mapenzi.,
Mimi mwenyewe niliteseka ni kwasababu ya muda, kweli nimekosea na leo nakiri makosa kwako, nilikuonea sikuwa na muda kabisa na weweee, ulivumilia ukiwa unajua nitabadilika wowooh, kumbe ndio kwanza ndo Kwanzaa,
chorus
ooh sina la kusema lakusema sina hata nikisema nitajiumiza mwenyewe