Niokoe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Niokoe - Foby
...
Niokoe
FOBY
Niokoe Lyrics
Foby!
Kimambo on the beat
[VERSE 1]
Nishakunywaga sana Maulaka
Nakulala popote
Washanizushiaga kibaka
Nusura waninyongote
Manguo yangu yangu yote viraka
Siheshimiki kokote Popote
Mwishoe wanitoe sadaka
Ndo uje uniokote
Nisiwe muongo
Siyo kwamba silagi nakula
Nikikukumbuka ndo na acha
Na siyo kwamba silali nalala
Ila picha yako mpaka itakapotoka
Siyo kwamba silagi
Nikikukumbuka ndo na acha
Na siyo kwamba silali
Ndo kama hivi nikitoka nalewa
Stress kama zote
Mapurukushani kila siku napewa (uh!)
Makesi kama kama yote
Ilaaaaa!!!!
Siyo kwamba silagi
Nakula Ila nikikukumbuka
[CHOURUS]
Niokoe … Uje
Niokoe ... Imenitawala dunia
Niokoe ... Ohh baby baby ohh
Niokoe ... Ohh baby baby
Niokoe ... Imenitawala dunia
Niokoe ... Aahh aaahh!!
[VERSE 2]
Na kama itatokea
Kufa kwa ajili yako
Hata mama nshamwambia
Asikukutenge
Na kama itatokea
Kufa kwa ajili yako
Hata ndugu nishawaambia
Wasikutenge
Kichwa changu tupu kama kopo
Hisia zangu zimekufa kupenda
Kutwa nashindia tu Madompo
Kimwili kinatiririka kukonda
Siyo kwamba silagi
Nakula Ila nikikukumbuka
[CHORUS]
Niokoe... Uje
Niokoe ... Imenitawala dunia
Niokoe ... Ohh baby baby oh oh ah
Niokoe ... Ohh baby baby
Niokoe ... Imenitawala dunia
Niokoe ... Aahh aaahh!!
Niokoe ... Uje
Niokoe ... Imenitawala dunia
Niokoe ... Ohh baby baby oh oh ah
Niokoe ... Niokoe
Niokoe ... Niokoe