Kutamu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Kutamu - Foby
...
FOBBY....
KUTAMU
Nilizoea sana kukaa nyumbani kabla sijui mambo ya club yanakuaje ....
Kule na huku huku na huku wanangu asubuh wanaamkaga na mabeibe.....
I say lem go..lem try coz I wanna know. .
kwann wang'ang'@nie kumbe is dingo everyday
nikajiona fala kwann nilipendaga kulala lalaa! minimtu wa kwaya ila club mala mojamoja sio mbayaa
Leo hii nimekua gwiji club bar zote nashindaa mimi nakesha na watoto wa mjin wavaa vibikin utawaambia nn *2
jaman mzik n mtamu nyie club kunanoga nakuna vitoto vikalii ndo kinacho nichanganya!*2
siku moja nimetoka kumoka akili ikanituma nikaruke 2 majoka nikakutana na toto la snika kumbe kwao fresh kaban zile pesa za smoker
I was like how are you can you dance with me right now? she says yec I do came an dance with me right now!
wakat nataka kuondoka kurud nyumban sinikajikuta siiina hata mia kitoto si kikaropokaa twende hotelin
shika hii endesha sijui hata njiaa
nkajiona fala kwann nilipendaga kulala lalaa mi nimtu wa kwaya ila mala moja moja sio mbayaa ila club mala moja moja sio mbayaa
Leo hii nimekua gwiji club bar zote nashinda mim
Nakesha na watoto wa mjin wavaa vibikin utawaambia nn *2
jaman mzik n mtamu nyie club kunanoga na kuna vitoto vikali ndo kinachonichanganya*2
nikajiona fala kwann nilipendaga kulala lalaa
mi nimtu wa kwaya ila club mala moja moja sio mbayaa
created by saliucy melodies+255....