PUT IT DOWN Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Put it down
Hey mama
Put it down
Put it down
Hey baby
Put it down
Put it down
Hey boo
Put it down
Hey mama put it down
Nataka nione unapandisha gauni
Ukinikosha nakuvisha crown
Pekecha pepeta mama mpaka down
Down down down down
Kama hujajua mi ni mtoto
Wa gavana anja
Namwaga sana mikwanja
Watoto wakinibamba
Club nikitimba kunywa na kusaza
Sijawahi kaa bila chapaa
Ndo mana watoto wanazunguka meza
Mama mama maa
Kama hujajua mi ni mtoto
Wa gavana anja
Namwaga sana mikwanja
Watoto wakinibamba
Put it down
Hey mama
Put it down
Put it down
Hey baby
Put it down
Put it down
Hey boo
Put it down
Ona wamezima
Mapombe bado yapo wamezima
Misosi bado ipo wamezima
Watoto wakali nao wamezima
Wahudumu na mamanager wamezima
Kiso mundende amezima
Ma dj ma waiter wamezima
Kweli leo nimejiwekea heshima
Waiter nipe maji
Nipe maji
Nikanywe nawashkaji tulewe
Kama hujajua mi ni mtoto
Wa gavana anja
Namwaga sana mikwanja
Watoto wakinibamba
Put it down
Hey mama
Put it down
Hey baby
Put it down
Hey boo
Put it down