Punguza Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Punguza - Foby
...
By Ntimba_jr_Henry
Kweli sikusomea
Mapenzi
Jando nilikimbia
Na mwenye ujuzi
Ni mkwezi
Nazi ndo anajulia
Na kama kweli mi Mshenzi
Watu watatujajia
Ohhh ohh
Jajia Jajia Jajia
Natamani
Nihamishe moyo
wangu kwako
Japo Nusu saa
Uone Mangapi
Naumia nayo
Ila ingekuwa we
Ungeyasusa
Ila
unaniona Bila
Show zangu short pass
Za mpira
Short Pass za mpira
Ila
Ila
Unaniona Bila
Ndo mana unabroadcast
Kwa hasira
Broadcast kwa hasira
Mama
Punguza Kidogo
Punguza
Punguza Michambo
Punguza
Punguza Minong'ono
Punguza
Punguza Misemo
Mama
Punguza Kidogo
Punguza
Punguza Misuto
Punguza
Punguza Na mipasho
Punguza
Punguza Michosho
Punguza
Najua Pambo la Penzi
Ni Pesa
Mana ukisema Nguvu
Watu wa Gym ndo wanaosalitiwa
Ukisema dawa ni tango
Akina Janjaro walikesha
Wanalia
Yale mambo
Ya kutetemeshana roho
Kisa huduma
Wala siyo yale siyo
Wala siyo uungwana
Natamani
Nihamishe moyo
wangu kwako
Japo Nusu saa
Uone Mangapi
Naumia nayo
Ila ingekuwa we
Ungeyasusa
Ila
unaniona Bila
Show zangu short pass
Za mpira
Short Pass za mpira
Ila
Ila
Unaniona Bila
Ndo mana unabroadcast
Kwa hasira
Broadcast kwa hasira
Mama
Punguza Kidogo
Punguza
Punguza Michambo
Punguza
Punguza Minong'ono
Punguza
Punguza Misemo
Mama
Punguza Kidogo
Punguza
Punguza Misuto
Punguza
Punguza Na mipasho
Punguza
Punguza Michosho