Lango Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Lango - Jomireso voices Tz
...
Liko lango
Liko moja
Natamani niwę pale
Walioyafua
Fuaaaa
mavazi
Mavaaazi
kwa damu ya yesu kristo
Namimiii
Namimi nitayafua yangu nifae
Kupita langoni
Angalau nami niandikwe.
Katika orodha ya wateule
Majina Yaitwapo niwepo
Nikamwambie Mungu imetimiaa
Mungu ayaona masumbuko yangu
Niandike nami niwę pale.
Majina yaitwapo niwepo
Nikamwambie Mungu imetimia
Mungu ayaona masumbuko yangu
Niandike nami niwe pale
Instrument
Tutakapovuka ile ng’ambo pale
Baada ya mto ule
Tutamkuta mwokozi
Ameandaa makao yangu
Atanikaribisha nitamsalimu
Baba yangu kwa uso
Hilo natamaniaaa
Majina Yaitwapo niwepo
Nikamwambie Mungu imetimiaa
Mungu ayaona masumbuko yangu
Niandike nami niwę pale.
Majina yaitwapo niwepo
Nikamwambie Mungu imetimia
Mungu ayaona masumbuko yangu
Niandike nami niwe pale