Makasiriko Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Makasiriko - Jomireso voices Tz
...
Siku zangu za kuishi sio nyingi(acha nikae nikae)
Acha nikae vizuri niishi kwa amani(Pamoja nazo changamoto) pamoja na changamoto kidogokidogo(kidogo kidogo kidogoo)
Nitatafuta furaha walau niishi
(Makasiriko) Makasiriko ya nini huleta magonjwa
(Duniani) duniani sio kwetu sisi ni wapangaji
(Muda wako) Muda wako unaisha haujafurahi
(Mungu wetu anakushangaa) Mungu anakushangaa unavochemka
(Eeeee siku)

Maisha hayana Maana kuchwapo hata mawioni
Utahangaika sana pasipo tumaini
Ishi Kama mpitaji duniani
Acha kujihangaisha na hii dunia
Alichokipanga Mungu kitatimia.
(Mwanadamuu)
Maisha yangu mwanadamu
Yamefananishwa na ua
Leo huchanua vizuri
Lakini kesho hunyauka