Acha Alama
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
ACHA ALAMA
1. Tumeshuhudia wengi sana, tumeyaona waliyofanya, historia zimeandikwa, hazitafutika, matendo mema waloyafanya, hakika wameacha alama haah! Kumbukumbu zao zimeandikwa.
Acha alama, katika jamii yako, watu wakiiona wakukumbuke na wakisema ya kwamba, Yesu huuuh Yesu, tumemuona kupitia wewe
2. Hoooh wewe na mimi, tutakumbukwa kwa lipi, je ni alama gani tumeacha kwa jamii? Kupitia talanta zetu mwenendo na matendo yetu ndugu, Yesu ainuliwe Atukuzwe.
Similar Songs
More from Orion Music Ministry tz
Listen to Orion Music Ministry tz Acha Alama MP3 song. Acha Alama song from album Acha Alama is released in 2024. The duration of song is 00:04:22. The song is sung by Orion Music Ministry tz.
Related Tags: Acha Alama, Acha Alama song, Acha Alama MP3 song, Acha Alama MP3, download Acha Alama song, Acha Alama song, Acha Alama Acha Alama song, Acha Alama song by Orion Music Ministry tz, Acha Alama song download, download Acha Alama MP3 song