Burudani Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Burudani - Jomireso voices Tz
...
Chorus
Tunapojivika nguo za thamani hata tunasahau sisi ndio udongo,tunapokua nazo sherehe kila siku burudani burudani burudani kumbe ni mizoga ilopokwa mafuta siku sio nyingi tutaiaga dunia(times2)
Verse 2
Ukiyatazama mazuri yake ukimsujudia mwisho ni kifo tuu
Amewateka wengi na kuwaua kwake bila wao kutambua njama zake lengo lake wapotee bila tumaini kuu yeye aliewakomboa msalabani(Times2)
Chorus
Nimeshafahamu wazi sasa ya kwamba hii dunia ni ganzi inalemaza wengi ,,imepakwa rangi zinazopendeza sawa na kaburi lilopakwa chokaa ,,kumbe ndani yake mifupa ilochakaa.
Tunapojivika nguo za thamani hata tunasahau sisi ndio udongo,tunapokua nazo sherehe kila siku burudani burudani burudani kumbe ni mizoga ilopokwa mafuta siku sio nyingi tutaiaga dunia(times2)
null
null
null
null