Thank you Lord Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Thank you Lord - Jomireso voices Tz
...
Sio muhimu kama tunavyodhani
MUNGU hana kazi yoyote nami leo
Kuniangalia kwa mwaka mzima
Ona waliokufa hata waliolala
Thank you Lord my redeemer.
Sio rahisi kama tunavyodhani
Ingawa neema imetolewa bure
Kwa ile ajali kwa ule ugonjwa
Wewe upone nini zaidi kwako ohhh
Thank you Lord my redeemer.
Sio muhimu kama tunavyodhani
MUNGU hana kazi yoyote nami leo
Kuniangalia kwa mwaka mzima
Ona waliokufa hata waliolala
Thank you Lord my redeemer.
Sio rahisi kama tunavyodhani
Ingawa neema imetolewa bure
Kwa ile ajali kwa ule ugonjwa
Wewe upone nini zaidi kwako ohhh
Thank you Lord my redeemer.
You are amazing Father
Wewe si wa kawaida
Nani anayeweza pinga
Kwa mipango yangu mingi
Sikuweza kujua kesho yangu
Hata sekunde mbele Ooooh
Thank you Lord my redeemer.
You are amazing Father
Wewe si wa kawaida
Nani anayeweza pinga
Kwa mipango yangu mingi
Sikuweza kujua kesho yangu
Hata sekunde mbele Ooooh
Thank you Lord my redeemer.
(Wee siooo)
Sio muhimu kama tunavyodhani
MUNGU hana kazi yoyote nami leo
Kuniangalia kwa mwaka mzima
Ona waliokufa hata waliolala
Thank you Lord my redeemer.
(Wewe siooo)
Sio rahisi kama tunavyodhani
Ingawa neema imetolewa bure
Kwa ile ajali kwa ule ugonjwa
Wewe upone nini zaidi kwako ohhh
Thank you Lord my redeemer.
(Wee siooo)
Sio muhimu kama tunavyodhani
MUNGU hana kazi yoyote nami leo
Kuniangalia kwa mwaka mzima
Ona waliokufa hata waliolala
Thank you Lord my redeemer.
(Weee siooo)
Sio rahisi kama tunavyodhani
Ingawa neema imetolewa bure
Kwa ile ajali kwa ule ugonjwa
Wewe upone nini zaidi kwako ohhh
Thank you Lord my redeemer.