Kila siku nashukuru Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Kila siku nashukuru kwa kidogo si haba siku kwa siku
Muhimu uzima wangu ninatembea ni huyu Mungu pokea sifa.
Kakiota kangu haka (haka) kadogo kanatosha kunihifadhi.
Hicho ulichonacho wengine wanaomba kwanini hautaki kumshukuru Mungu.

(Instrumental)
Ninaomba Baba niondolee hii tabia ya kuwa mlalamishi (kila siku) kushindwa hata kuyaona machache uliyonipa.
(Ukinipa pesa) mbona si kama za yule
(Ukinipa nyumba) mbona sio kubwa
(Umenipa chakula) mbona sio kingi ewe rafiki.