Nitapike Samaki Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Nitapike Samaki - Jomireso voices Tz
...
Nitapike samaki niende Ninawi huko ni Tarshishi kumenipoteza
Samaki ulevi uongo na uchawi ulafi nitapike niende kwa kazi yangu eeeeh
Tapika niende kwa wagonjwa nitapike samaki niwaone yatima.
Niende gerezani sitaki tarishishi nipe nafasi ya pili niende.
Nitapike samaki niende ninawi (hukooo)
Huko ni tarshishi kumenipoteza
Samaki ulevi,uongo na uchawi
Ulafi nitapike niende kwa kazi yangu.
(Eeeeeeh)Tapika niende kwa wagonjwa’
Nitapike samaki niwaone yatima niende gerezani sitaki tarishishi
Nipe nafasi ya pili niende.
Umetumwa kuzitumia baraka za MUNGU
Kwa Neno lake uende ninawi badala ya kutenda makusudi ya Mungu umekimbilia tarishishi.
Eeeeeeh
Nitapike samaki niende ninawi (hukooo)
Huko ni tarshishi kumenipoteza
Samaki ulevi,uongo na uchawi
Ulafi nitapike niende kwa kazi yangu.
(Eeeeeeh)Tapika niende kwa wagonjwa’
Nitapike samaki niwaone yatima niende gerezani sitaki tarishishi
Nipe nafasi ya pili niende.
Nitapike samaki niende ninawi (hukooo)
Huko ni tarshishi kumenipoteza
Samaki ulevi,uongo na uchawi
Ulafi nitapike niende kwa kazi yangu.
(Eeeeeeh)Tapika niende kwa wagonjwa’
Nitapike samaki niwaone yatima niende gerezani sitaki tarishishi
Nipe nafasi ya pili niende
Umetumwa kuzitumia baraka za MUNGU
Kwa Neno lake uende ninawi sababu na vikwazo visingizio vingi havitazuia kazi yake.
Nitapike samaki niende ninawi (hukooo)
Huko ni tarshishi kumenipoteza
Samaki ulevi,uongo na uchawi
Ulafi nitapike niende kwa kazi yangu.
(Eeeeeeh)Tapika niende kwa wagonjwa’
Nitapike samaki niwaone yatima niende gerezani sitaki tarishishi
Nipe nafasi ya pili niende.