Chegu ft. Billnass Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Chegu ft. Billnass - Kontawa
...
Me nachekaga tu !
Siku hizi wananiita chegu kama ujanijua
Hata nikifua dafu nahakikisha na kamua
Uko mtaani watu wananijua
Bingwa
wa kukichafua
Nishawai kuchoma nyumba na kisu
hadi ikaungua
Eeeh Code zangu kama asake
muda wote naripuka kama bomu aaah
Oya watake wasitake
Napendeza hata nikivaa kondomu eeh
Me nilivo ukinipenda nakupenda
Na ukinitenda nakutenda eeeh
Nikiona chenga chenga
Wanangu wenye vibamia
kapikeni milendaaa
We usinijie kindezi utapata shida
Njia ya nyumbani kwangu ina miiba eeeh
Ukinichukulia barida nakulia bati
Mpaka tumbo linashiba
Eee ndo maana wananiita chegu chegue Vara
Nakichafua kama chegue chegue Vara
You better call me chegue uuh huu chegue Vara
Eeeh nakichefua kama chegue chegue Vara
Nenga !!!!
Nasitaki utani eeeh waulize wenzio
Wanajua nenga Nani eeeh
Me ndio master plan eeeh
Usije kwangu kupima Sina mzani eeeh
Oyaa pass me the rezlaah
Nikitulize kichwa
Na kama ukinyonga hakikisha ina filter
Jeshi la MTU moko nakalisha MTU Tisa
Na ukizingua sisafirishi na kuzika
Watalam wananiita chegue
Mbegu ilootoga kwenye mizizi
Nishaenda mpk milembe kisa love na machizi
Na hakitupwi kiporo anga hizi
Kwanza me nishauza godoro ili ninunue usingiz
Niko na sumu nyingi na Hakuna Panya kuwaua
Inashangaza kuona mnapanga kunipangua
Ulizia temeke wazee WA mapanga wananijua Ile
shaaa shaaa shaaa
Nakuchinja bila dua
Ndo maana wananiita chegue chegue Vara
nakichafua kama chegue
you better call me chegue chegue Vara yeeeeh
Nakichafua kama chegue chegue eeeh
chegue Vara