Mke Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Mke - Kontawa
...
Kwajina ninaotwa tawa
Ukipenda niitebaba lao
Mwenzenu mi napenda mpira
Kwasababu nimetokana na bao
Ebana kuna huyu dada
Tulikutana kwenye mitandao
Kwakua nilitaka kumuoa
Ikabidi anipeleke kwao
Picha linaanza ile nafika kwao
Nikakutana na walinzi
Hao walinzi juzi juzi tuwaliniokoa kwenye fumanizi
Akatokea mmoja kati yao
Nakuniambia za sahizi
Nikajifanya sina habari nao
Yani nikajifanya niko busy
Asa nilivyokaribishwa ndani
Hapo nikatamani kukimbia
Nilivyomuona mfanyakazi wa ndani
Yani bwana kumbe yule yule teddy
Niliempa mimba kijijini eeh
Ambae nilimuacha anapata tabuu
Nikamkimbia nikaja mjini
Mara nikasikia sauti sikujua inatoka kwanani
Nikapapasa macho ooh jmni
Uso kwa uso na kaka yake wa damu
Ambae ananitafuta kisa nilimgongea dem
Nilipoona ubaya huo ubaya huoo
Alipotokea mamaya mamayaoo
Kumbe mama yao bwana shuga mamy
Ambae amenipangia kinondoni
Nifanye nini leo mi jamani
Natafuta njia siioni
Mara baba yao nae akatoka ndani
Hapo ndo nikazidi kudata
Mzee wao ni jaji mahakamani
Ambae alisimamia kesi yangu yakubaka
Nachojiuliza mie je nitapata mke
Nachojiuliza mie je nitapata mke
Je ntapata je ntapata mke
Aaanh aaaaah je ntapata mke
Nachojiuliza maswali yngu je ntapata mke