![Sikuachi ft. Maua Sama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/31/de0246a718eb49af992832188e085686_464_464.jpg)
Sikuachi ft. Maua Sama Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Sikuachi ft. Maua Sama - Kontawa
...
Ieeh ieeeh haaah uugh haaa Samaa…
Aaaauuuh aaghaaaagh…..
Mi nachekaga tu….
Kabla sija-switch life
Hukupindua meza eih
Kipindi nauza mtumba natembea na nguo kariakoo magereza eeh
Yani kipindi sina good life
Hukuwahi kunibeza eeh
Uliniambia nitafute sana pesa kama vile mimi ndio nimepoteza eeh
Chumba kimoja cha kupanga
Una doti moja tu ya khanga eeh
Kuna kipindi nilisanda
Mpaka nikatamani nikupeleke kudanga eeh
Aagh babe maisha tumeishi
Tusingetoboa bila ubishi eeh
Nilivyo hustle sikufichi
Hadi nikinunua ugomvi nilikuwa nadai risiti
Tumetoboa tumetoboa tumetoboa woow
Tumetoboa amini kwamba tumetoboa
Tumetoboa tumetoboa tumetoboa woow
Tumetoboa amini kwamba tumetoboa
Sikuachi
Mpaka milele
Mungu ametuona leo tuna mapene
Piga kazi
We songa mbele
Mungu ametuona leo zamu ya me na wewe
Najua haya maisha bila mwiko huwezi songa mbele
Hata kama hupendi wali lazima utafute mchele
Walio tusema vibaya wanatuonea gere
Sisi tunafuga ng’ombe wao wanafuga nywele
Babe kipindi sina pesa uliposikia njaa
Uliziba masikio eeh
Leo nimepata pesa nianze kukukataa sitaki laana kama hiyo eeh
Ukitaja watu wasio cheat me na we tumebakia
Haupendi pombe lakini una mguu wa bia
Embu sema unachotaka me nitakufanyia
Hata usipoona siku zako ntakutafutia
Tumetoboa tumetoboa tumetoboa woow
Tumetoboa amini kwamba tumetoboa
Tumetoboa tumetoboa tumetoboa woow
Tumetoboa amini kwamba tumetoboa
Sikuachi
Mpaka milele
Mungu ametuona leo tuna mapene
Piga kazi
We songa mbele
Mungu ametuona leo zamu ya me na wewe
……………..mafia