![Mwezi Dume ft. Stamina](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/22/176f5e8637374bfe84aad5e9c39bcd8d_464_464.jpg)
Mwezi Dume ft. Stamina Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mwezi Dume ft. Stamina - Kontawa
...
na hii ni kwa wanangu walioko Kenya na Uganda
mi nikiona ngazi mashetani yanapanda
mtaani kwetu Kuna watu wanawanga
mbaka mjamzito amejifungua mkanda
huu uwezo nilionao mungu pekee ndo anajua, Niki mind hata Israeli akija naua
Kuna demu nilimpata aisee najuta kumjua
mana nilimpelekea Moto mbaka gesi ikaungua
jamani siku hizi sisimamishi
" kontawa acha masihara"
eeee ni kweli
" kontawa acha ufala"
mhhuhhh Kama mnadhani masihara Toka nimekuwa star sisimamishi daladala
Asa ngoja niwambie ukweli .kabla cjawa maarufu
nshawahi kuona gari linawashwa na upupu, mi nikiamua kuthubutu
demu mwenye umeme namtongoza na luku
: mtaa ninaotoka ngoma ya watoto inakesha
tanesco nao wanatumia jenereta
mnaonichukia naona ka mnachekesha
wanangu msipokuwa makini ntawatesa
now
(mwezi dume×2
Kama mwezi dume)×4
ahhhh nilipotoka hakuna mwanga, Yan home Giza tupu
dingi Hadi ajifanye mganga ndo angalau tule kuku
sanaa ndo ambayo imenipa heshima ,hata nikiniombwa msamaha akianani majibu CNA
nyota ya kicheche ni kupata cm ya danga
nyota ya bishoo kupata pisi flani pamba
nyota ya kichawi ni kuamua kuwa mganga
Kama nyota ya wakulya ni kushusha tu mapanga
mnawapa ushindi wa mezani kwa kushinda kwa kushinda
wakati co washindani hawawezi kushindania ubingwa
ukijiita mshindi bc ushinde kwa ushindani
mana tushaona washindi walioshinda kwa upinzani
game ya bongo mashindano so kwangu ni toto race, face to face, na rapper ni special death
punch after punch nikispit ninspecial case, ndo mana nikiingia
$$$$____$$