![Champion ft. Nay Wa Mitego](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/25/5be757ed90c84c108e908ea288b6b9cb_464_464.jpg)
Champion ft. Nay Wa Mitego Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Champion ft. Nay Wa Mitego - Kontawa
...
Oya mitaa niliotoka police wanauza gongo
Ata uwe mkweli huwezi ishi bila uwongo
Mlo mmoja na bado tulibeba nondo
Na maisha yakasonga tuu
Eh ili sabuni zisiishe si tulinyoa madongo
Tukala maharage hadi tukawa wachezaji na ndondo
Oya si tumetokea bongo na maisha yanasonga tu
Nishazika wanangu nilowapenda
Ukija mtaani kwangu kutwa diffenda
Kukimbizana january mpka December
chumba kimoja wanalala dada na kaka
Watu hawatupi msosi ata ukichacha
Baba jambazi mtoto anajiuza mtaani
Mama mchawi nyumban atabaki nani
Aweee am the winner
Am the champion
Awee am the winner
Am the champion
Eh tumeishi na watu wanaoamini kwenye mpango wa mungu kuna mkono wa mtu
Tumeishi na watu wanaoamini sikukuu ndo siku yakuchinja kuku
Tumeishi na watu ambao wanaotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku
Tukaishi na watu ambao wanaamini kwamba bahati bahati zote alipangiwa bukuku
Hapo mwanzoni waliamin hatutopata mafanikio
Waliotufagilia wakauza mafagio
Mtaani kwetu sio
mtu alietoboa sana alitoboa sikio
chumba kimoja wanalala dada na kaka
Watu hawatupi msosi ata ukichacha
Baba jambazi mtoto anajiuza mtaani
Mama mchawi nyumban atabaki nani
Aweee am the winner
Am the champion
Awee am the winner
Am the champion
Champion champion
Huu wimbo unanikumbusha mbali
Kiipindi naitwa ima
Dharau kejeri manyanyaso ka yatima
Na hvyo ndo vimenikomaza mpaka leo
Nimesimama
I thanks God kwa hii power na heshima
Nishatembea kwa miguu toka manzese mpaka temeke
Kuomba nafasi yakuimba na bado nayo nisipate
Dharau zao na manyanyazo
Zilifanya tamaa nisikate
Dah pumzi inakata koo linakauka
Na bahati mbaya ata mdomon sina mate
Nkapiga moyo konde nikamuomba Mungu niongoze
Nanikaweka nia kwamba
Mziki utanilisha
mziki utanivisha
Mziki utanitajirisha
Maisha ya zamani hayafanani nayasasa
Nishasota sana acha tu nile bata
Madili mengi sikuhzi nasign angani
Naitwa rais wa kitaa napenda mtaani
Aweee am the winner
Am the champion
Champion champion
Awee am the winner
Am the champion
Champion champion