Daktari Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Daktari - Kontawa
...
Aah hellow naitwa tawa
Kazi yangu daktari na nagawa dawa
Hellow nimepagawa
Kiufupi hali yangu wala haiko sawaa
Mi ni daktari wa bugando Mwanza
Na nakafarmance kako ng'ambo
Kazini si yametokea mambo
Hadi nikapewa barua
Nimefukuzwa kazini
Kisa kiongozi nimemuweka kwa foleni
Yani hata siamini
Naona ka walipanga kampeni
Nikaona nirudi nyumbani
Huku njiani namawazo mengi
Nilivyofika nyumbani
Nikamkuta bebe anajiandaa anajiandaa
Nikashindwa ata ata kumpa story
Yani story yani nilipotoka
Akaniambia baby plz am sorry
Niazime gari nataka kutoka
Nikaone bora mi nikubari anende nae
Yalonikuta mi ntamwambia badae
Akanikiss nakunichum mmwaah
Na mwisho wa siku akaniambia bye bye
Alivyotoka tu na gari kubwa
Nikachukua dogo nikaelekea farmas
Nikaona ili nisipoteze mda
Bora niende zuga kwenye yangu famas
Bada masaa manane yalitokea majanga sana
Navyokwambia mwanawane
Kuna watu wanadhambi sana
Huwezi amini mbele ya duka langu
Yani flame yangu likapaki gari langu
Mwanzoni mi nilijua ni mke wangu
Haki ya mungu wangu sikuamin macho yangu
Akashuka kijana sikujua ni nani
Akaingia dukani na akataka kuhudumiwa
Nikaona bora tu mi nimskize
Ili nijue tu kama kuna chochote
Akili yangu ikawa iko busy
Nikitaka kujua kama wako wote
Akaniambia dokta naomba viatu
Naomba kondomu
Nataka niende leo nikavunje chaga
Kuna bebe iko room ee
Yeyeyee yeye iyee iyeyeyeye
Najiuliza nifanyaje Nifanyaje
Najiuliza nifanyaje nifanyaje
Swali langu nifanyaje nifanyaje